TUNDUMA πΉπΏ - NAKONDE πΏπ² ONE STOP BORDER.
- Hiki ni kituo cha ugazi mpakani mwa Tanzania na Zambia.
- Kila siku malori ya mizigo yasiyopungua 1200 uvuka mpaka huu kutoka Tanzania kwenda nchi za Zambia πΏπ², Zimbabwe πΏπΌ na DR Congo π¨π©.
#BongoFactZone #BongoFacts
