Nguvu ya KUANZA
Unapoanza jambo lolote lile, inakusaidia kufuta dhana potofu ulizo nazo na nyingine za watu wakisema HUWEZI
Utakapoanza, unapata momentum ya kuendelea....
Watu wengi hawajaribu, wao husema HILI NI GUMU
Ukimuuliza ulifanya? Nakwambia HAPANA
Moja ya ushindi ni KUANZA
Kwasababu unaendelea kujifunza na kukua haraka, pia inakusaidia kuona Hatua inayofuata....
Jinsi unavyozidi kuendelea ndivyo unaona INAWEZEKANA
Unavyozidi zaidi UOGA NA HOFU KUSHINDWA vinaanza kuandoka na unaendelea kupata uzoefu na kujiamini
Sasa ANZA SASA kwanini?
Kwasababu unaanza kufungua fursa mbalimbali na kupata connections nyingi.
ANZA SASA utashangaa mambo magumu kumbe ni Kwa kuonekana tu lakini YANAWEZEKANA