DONALD TRUMP :

Mapacha wawili waanzilishi wa moja ya exchange kubwa nchini marekani inayoitwa Gemini, Cameron na Tyler Winklevoss wamempatia mgombea wa uraisi wa marekani Donald Trump, Bitcoin 30.94 sawa na dola milioni 2 za kimarekani kama mchango wao wakilenga kutokomeza utawala wa Biden unaokandamiza wawekezaji wa Cryptocurrency.

✨ Siku sio nyingi nitakupa story ya kusisimua sana ya hawa mapacha maarufu kama "The Winklevoss Brothers", jinsi walivyoanza na jinsi ambavyo Mark Zuckerberg aliwaibia idea yao ya kuanzisha Facebook na walimshitaki na kulipwa fedha nyingi sana ambazo waliziwekeza kwenye Cryptocurrency!

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.