BITCOIN: Mjasiriamali na Mwandishi wa kitabu maarufu Cha "Rich Dad, Poor Dad" ambaye pia ni mshauri mbobezi wa masoko ya fedha amesisitiza kuwa Bitcoin ndio njia rahisi (Short Cut) ya mtu kuwa milionea katika ulimwengu wa sasa.

✨ Katika post yake kwenye mtandao wa X hivi karibuni Kiyosaki amesema " Kutengeneza Mamilioni kama mjasiriamali ni kazi ngumu, Mimi ninatunza Bitcoin kwa sababu inanifanyia kazi yote ngumu" alisema hivyo akielezea njia (strategy) yake ya kutengeneza pesa.

✨ Amesisitiza kuwa anaiona BTC inaweza kufika $350,000 ndani ya mwaka huu, Licha ya kukosolewa na watu wengi.

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.