πŸ”€πŸ”€πŸ”€πŸ”€πŸ”€

MUHIMU KILA MTU ASOME:

Leo Usiku usiku imenilazimu kuandika hii post, na kuelezea mwelekeo wa Bitcoin baada ya kuona watu wengi wanapoteza pesa bila kuelewa soko liko wapi na linaelekea wapi...na hiyo ni hatari sanaa...!

⚠️ Tuko katika kipindi hatari sanaa..ambapo Bitcoin dominance (nguvu sokoni) iko juu lakiniΒ  cha ajabu Bitcoin inaonyesha kama kushuka hivi...πŸ˜€

✨ Namba nipe sikio nielezee kidogo hapo.....ukiona Bitcoin dominance iko juu na Bitcoin inaonekana kushuka basi kuwa makini sana kama sio kukaa mbali kabisa na ALT COINS ( coin zingine tofauti na Bitcoin)....huwa huu ni msimu mbaya sana kwa coin nyingii....!

✨ Lakini kumbuka nyakati mbaya ndio nyakati za kujipanga na kujiandaa na kuchambua soko vizuri ujue kuwa linaelekea wapi....ili ukusanye mashambulizi.

πŸ’‘ Naomba nijibu swali sasa....BTC kwa sasa bado haieleweki kwamba itagusa bei ya juu kabisa (ATH) au bei ya chini, ingawa imeshindwa kubaki kwenye support ya $67,000 hivyo inaweza kuelekea kwenye $60k na kushuka chini zaidi...na pia kama ikifanikiwa kurudi kwenye range ya $67,000 basi tunaweza kuiona juu ya $70,000 sio mda mrefu.

USHAURI: Bitcoin haipo kwenye range ya kutrade kwa sasa...ila wale scalpers 😁 kama kawaida unaweza kutafuta entry popote na kutoka sokoni haraka...

Tutaendelea kutoa update hapa karibia kila siku za Bitcoin....keep updated....

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.