Unahitaji vitu vinne tu ili uwe na furaha
1. Familia
2. Utimamu wa mwili
-Afya njema ya mwili na akili
3. Hekima (wisdom)
- maarifa kuhusu Mungu
- maarifa kuhusu mifumo ya maisha
4. Bitcoin
- ukishahold Bitcoin (au Cryptocurrency zingine) niamini Mimi hutakiwi kuwa stressed tena kuhusu uchumi wako
📌 Unakuwa umemaliza kila kitu hapo... 🥳!
Tutaanza kuachia uchambuzi wa coins mbalimbali hapa, mainly kwenye Bitcoin na Etherium...stay tuned,! 🔥
Kwetu sisi always ✍️ Sharing is Winning🏆
