Wasichana wenye umri wa miaka 9 - 19 wanatumia asilimia 68 ya kipato chao kila mwezi kwenye taulo za kike sawa na TSH 4,541.

Kutoa kodi kwenye pedi na kugawa pedi bure kwa wanafunzi wa kike, kutapungumza mzigo na kuhakikisha wasichana wanaotoka familia maskini wanapata taulo za kike wakati wa hedhi.

#PediBure #PediBilaKodi

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.