Hapo sawa. uko west park ama unasema una shinda wapi ?
Niko dar es salaam Kaka ,mimi mchagga am from Kilimanjaro 😅😅
Please Login to reply.
najua. was asking kama ulikuja Bootcamp.
Hapana ndugu ila niko naangalia kupitia livestream kuna some my friends wako hapo Martin mutonga the founder of #btc Nairobi hako hapo