Innovation ina take over muhimu kuwa na mguu moja mbele
Kabisa kaka
nimenotice mtu akija Kenya ,kuishi Lazima akili ichangamke kwenye kutafuta si kama Tz akili za wengi zimelala
Please Login to reply.
Haha hapa ni mbio mbio wakenya tusha zoea kukimbia kama tu kipchoge 🏃♂️
ni nzuri sana ,nitakua nakuja sana kenya akili ichangamke zaidi