Sijai tembea mjini Lusaka. Natumaini nitatembea siku moja.
Discussion
Woow vizuri mimi nimekuja tembea nione vizuri venye bitcoin inasambaaa aje huku ,naona wako poaah nimetembelea restauranta iko inakubali malipo kwa bitcoin au sats na nyingine nasikia ni lodge iko livingstone city