*Cha Asubuhi* ✍🏿

Ni bora kurudi nyuma kuliko kuendelea kupotea zaidi kwa kuogopa kuanza upya.

Kudondoka sio vibaya, isipokuwa vibaya ni kudondoka na kusahau ulikuwa unaelekea wapi.

Ni pale ambapo utakubali kuwa umepotea ndipo pale ambapo utajua ipi ni njia sahihi ya kupita ili kufika uendapo.

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.