tunawatakia wakristo wote Jumapili Njema ya Pasaka.

Marko 16:6 "Naye akawaambia, Msistaajabu; mnamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulibiwa; amefufuka; hayupo hapa; patazameni mahali walipomweka."

✍️ Sharing Is Winning 🏆

https://twitter.com/shayogray1/status/1644889724870352900?s=46&t=qN2_Rdp7rvMuXloYbiGkug

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

Asante sana

Wow unajua kiswahili na ww vizur sana

Nitakapo tembea dar, nitakutafuta

Karibu sana wewe uko wap sasa

Mimi ni Jirani

Wapi kenya ama wapi ??hahahah

Umesema

Nasemaje wewe uko nchi gani !??

Kenia

Kenia is a country or your name or you mean kenya !??