BITCOIN: Michael Saylor's kupitia kampuni yake ya MicroStrategy anamiliki bitcoin 214,400 mpaka sasa, zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 13.6 sawa na trilioni 35.2 za kitanzania.
✨ Umiliki huo ni zaidi ya umiliki wa nchi yoyote ile duniani. 🔥 