Hapa kati ya South Africa 🇿🇦 na Namibia 🇳🇦 haina kipingamizi ;mshindi atakua South Africa 🇿🇦 tu kutokana na ubora wa nguvu kazi ya team yao na historical background yao kua na formation nzuri na uchezaji mzuri wa soka .

There are two things involved either win 🏅 or loose 😃😃

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.