[ *Hack* ]
Kwa online hustlers, haswa beginners ukikutana na mchongo, na ukawa huelewi kama ni legit au scam,
Nakupa mbinu hii ya ku-verify mchongo, usije fanywa wewe ndio mchongo,
Hii inawakuta sana watu wa Unskilled freelancing [Nlishaeleza hili]
*Fanya hivi* 🔽
➠ Mfano; Mchongo unaitwa, XYZ. Com, usikurupuke ku sign up, ukadakwa akili.
➠ Search google, huo mchongo (XYZ), nenda kwenye hizi sehemu,
∆ *Reddit* ,
∆ *Quorra* ,
∆ *Trust Pilot* ,
Angalia wengine wanazungumziaje huo mchongo, au wame rate vipi [Scale of 1 to 5⭐]
Ukiona 👎👎 ni nyingi sana,
*Achana nao* . *Usipoteze mda hapo*
*Redeem Time* .