Unaweza predict nani atashinda baina ya zambia 🇿🇲 na Tanzania 🇹🇿??

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

Naona Tanzania wanauwezo ya kushinda 2-1⚡️

#AFCON2023

nostr:npub1ew8nerkf5gzt3qy95l96zeqdtpdy94ez4wsg72q2nwfmlsgwcv5sgpyqg6

Mmmh tuone Kama tunaweza naona kabisa kikosi chetu hakiko Sawaah kabisa kaka

#AFCON2023 #Nostr #btc #Plebs