Habari njema kwa Bitcoiners wote, jamii ya Watanzania na wanafunzi wa BitcoinSafariTz!
Leo tunayo nafasi nyingine ya kipekee ya kujifunza zaidi kuhusu teknolojia ya Nostr (nostr:nprofile1qqs9xtvrphl7p8qnua0gk9zusft33lqjkqqr7cwkr6g8wusu0lle8jcpp3mhxue69uhkyunz9e5k7qg4waehxw309ajkgetw9ehx7um5wghxcctwvsrrnrxl nostr:nprofile1qqsraldwhvwcjgltmxwfu7kw8dqef2692yhzheuurd7k3kfy8cxjdqgpz4mhxue69uhk2er9dchxummnw3ezumrpdejqzrthwden5te0dehhxtnvdakq3dsq8x nostr:nprofile1qqszpxr0hql8whvk6xyv5hya7yxwd4snur4hu4mg5rctz2ehekkzrvcpp4mhxue69uhkummn9ekx7mqpr3mhxue69uhkummnw3ez6vp39eukz6mfdphkumn99e3k7mgd22h8g) na jinsi inavyohusiana kwa karibu na Bitcoin.
Katika kipindi cha leo, tutajadili kwa kina maana ya Nostr, jinsi inavyofanya kazi, na namna watumiaji wanaweza kuitumia kusambaza maudhui, kujenga mitandao ya kijamii huru, na hata kupokea malipo kwa njia ya Bitcoin kupitia mitandao hiyo.
Kipindi hiki ni muhimu kwa kila mmoja anayetamani kufahamu teknolojia mbadala za Web3, uhuru wa kifedha, na matumizi halisi ya Bitcoin kwenye maisha ya kila siku. Tutajifunza pia jinsi ya kuunganisha Nostr account na huduma kama nostr:nprofile1qqsfk2er6hu2wyffq0zdccqtp2fvgvterr70e77jha26wk83hxj0ajspzpmhxue69uhkumewwd68ytnrwghszrnhwden5te0dehhxtnvdakz737cnvx ili uweze kupokea tips za satoshi moja kwa moja kwenye simu yako hata bila intaneti!
๐ Muda: Leo, kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 3:00 usiku
๐ Sehemu: Google Meet
๐ Link ya kikao:
https://calendar.app.google/M27ce3Apt5t4RoL18)
Usikose nafasi hii adhimu ya kupanua uelewa wako kuhusu Bitcoin na teknolojia huru kama Nostr. Karibuni wote kwa ajili ya kujifunza, kuuliza maswali, na kuongeza maarifa!
#BitcoinSafariTz #Nostr #BitcoinEducation #Satoshi #TanzaniaBitcoin #DigitalFreedom #LearnBitcoin #Machankura #PesaZaKidigitali #BTC






