*Jipe Majibu ya Maswali haya Kabla hujaingia kwenye Online Hustling*
1. *Kwanini, unataka kuingia online*? What's your motivation or goals au umafata mkumbo kwasababu Melch anaishi online,
Kama sababu ni hiyo ya mwisho, hebu jitathmini.
2. *Do you know what it takes*, unajua kuna mangapi you have to sacrifice ili uone matokeo unayoyataman? Are you willing to learn, unlearn and relearn?
Upo tayri kuingia kwenye mchakato wa kujifunza.
3. *Are you willing to upgrade and develop*? Upo tayri kuanza kumtengeneza wewe mwingine? Nikimaanisha katika skills, knowledge etc.
Online hustling itakulazimu kua na tabia ya personal development katika maeono hayo, cha muhimu ni utayari wako.
4. *Willingness and Motive*, Kipi kilikuvutia? Kua makini hapa, kama uliamini kwamba utapata pesa ya haraka 🤣 Nikupe pole. Mambo hayaendi hivyo wala, kuna willingness ya kufanya kazi lazima uwe nayo.
[ *Cont...*]
Online hamna pesa, pesa ipo kwenye skills zako, Online is where you go to sell Only, unalipwa nyingi au kidogo hyo itaamuliwa na level ya ujuzi wako. Umenielewa?
No Pressure.
5. *Do you have resources*? Baada ya hayo mengine, jiulize una pa kuanzia?
Internet, Laptop, A mount of cash ya kununua hata courses mbili tatu kwenye Udemy, Skillshare etc.
Usifanye kosa la kuamini ukiwa na hvi umemaliza, Nope. Hivi ni vitendea kazi, baada ya hayo mengine yote.
I hope Nimekufundisha kitu.
Cheer's 🥂 