Moja kati ya Ujuzi wa kuuza zaidi mtandaoni ni Pamoja na;

- Kutengeneza Dharura (Emergency); yaani unamtengeneza mteja Mazingira ya kufanya maamuzi hapo hapo.

Mfano;

Bei ya Bidhaa hii; 40,000/=

Leo utaipata kwa; 20,000/=

Okoa zaidi ya 20,000/= leo.

Ukimtengenezea Mazingira kama haya hachomoi.

Je uwa Uwa unawatengenezea Uharaka wateja Wako ?

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

No replies yet.