Kampuni ya western Digital imetangaza kutambulisha kwa mara ya kwanza memory card yenye uwezo wa kutunza kumbukumbu kwa telebite 4 kwaajili ya simu.
✨ Kampuni hiyo imesema kwamba itaweka sokoni memory card hiyo kuanzia mwakani na itakuwa na uwezo wa kuhamisha taarifa mpka MB 104 kwa sekunde.
✨ Memory card hii itafika uwezo wa Flash disk yenye uwezo mkubwa ikiwa nikiwango kilichowekwa na mamlaka za kimataifa (SD Association) inayoitwa Secure Digital Ultra Capacity (SDUC)
✨ Viwango vya SDUC vilivyotolewa mwaka 2018, viliongeza ruhusa ya kiwango ambacho vifaa hivyo vinaweza kutunza kumbukumbuka kutoka TB 2 mpaka TB 128 