*Sikiliza Hii Kijana, Unaetaka Kupambania Mkate Wako Online*
➠ Hvi kwani ukienda kwenye interview ya kazi, unaweza fika pale na kusema kwamba mm nataka hii kazi kwa sababu nina njaa?
- Kosa kubwa kufanya ni muajiri kugundua kwamba unachotaka ni maokoto tu [Mshahara]
➠ Sikiliza hata mwajiri anataka aone value, utakayo add kwenye ofisi yake ikiwa watakuajiri, mshahara hua unazungumzwa mwishoni.
*Sasa, Kwanini Nimekwambia hivyo?*
➠ Ukiingia Online ni hvyo hvyo, ukitanguliza njaa ya maokoto mbele utachemsha.
*Learn how to give value. That's what people pay for.*
Jifunze kutoa value. Hicho ndicho watu hulipia, ndicho kitakachofanya ulipwe pesa unayotaka.
*Umenielewa?* 🥂 