Leo nimeenda kutembelea nyumbani wazeee my young brother last born akalilia tishrt ikabidi mimpeee atest awe nafuraha 😀😀😀
Inamkalia vizuri! Lazima watoto pia wachangamke mapema wasiachwe nyuma kama wengine
Please Login to reply.
Kabisa ndugu yangu