[Utofauti Kati ya *VPN* na *PROXY*]
➠ *PROXY* - Inafanya kazi kama daraja kati ya kifaa chako na mtandao, hii ni kwa kazi maalum, haswa ku-access sites ambazo ziko limited geographically [Location].
Maana yake ni kwamba IP address yako inakua masked [Funikwa], na wewe kuonekana una access kutokea location nyingine.
➠ *VPN* - (Huu ni mtandao binafsi) ni encryption ya connection zako zote mtandaoni, security na privacy unapokua online.
Hapa traffic yako inakua Anonymous kupitia Encrypted tunnel, hii inakufanya kua safe, na ku avoid kua tracked, yani unakua invisible, kila unachofanya hakiwi detected.
Hizi functions hazipo na wala sizungumizii Proxy au VPN za BURE 🚫
*Happy Weekend* 