Njema rafiki.

Lusaka kuko aje kaka

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

Lusaka iko poaah sana ,naipenda lusaka watu wapole na wakarimu sana wanapenda kujifunza vitu vingi sana

Nilifurahi nilienda kwa restaurant moje iko nyangwenya road nikapata my breakfast na friends tukiwa tunapiga story zaidi kuhusu bitcoin baadae tukalipa bill kwa sats wanakubali sats /btc as payment nilifurahi sana

Sijai tembea mjini Lusaka. Natumaini nitatembea siku moja.

Woow vizuri mimi nimekuja tembea nione vizuri venye bitcoin inasambaaa aje huku ,naona wako poaah nimetembelea restauranta iko inakubali malipo kwa bitcoin au sats na nyingine nasikia ni lodge iko livingstone city