Hello π #Nostr #Plebchain where will you spend your weekend ??!!!
#asknostr #Plebchain
Nyumbani na mwanangu
Please Login to reply.
Leo nimeenda kutembelea nyumbani wazeee my young brother last born akalilia tishrt ikabidi mimpeee atest awe nafuraha πππ
Inamkalia vizuri! Lazima watoto pia wachangamke mapema wasiachwe nyuma kama wengine
Kabisa ndugu yangu
Vizuri sana kama utakua kwa home na ur kid
Mfundishe #bitcoin
Ata fikisha miezi tisa hivi karibuni ! Tayari ako na teddy ya orange ! Mambo mdogo tu π #nostr #dadstr
Nakubali ππΎππΎππΌππΌππΌ