Hapo sawa
Discussion
Sawa ndugu yangu
Naona kenya mmeendelea sana kaka
Nilipanda SGR from voi to nairobi and back to voi iko safi sana .
Nimepanda bolt electric motorbike
Nimepanda matatu zenu ,zenye ziko na TV inside
Nimepanda Electric Buses zenu
Nimeona vingi sana
Infact kenya ,kwenye sekta ya technology mko mbali sana na khongereni sana kaka
Innovation ina take over muhimu kuwa na mguu moja mbele