Ni furaha kubwa sana kuona watalii na #bitcoinย ers kutoka nchi mbalimbali dunian kutembelea nchi yetu Tanzania ๐น๐ฟ na kupanda mlima Kilimanjaro na kueneza ujumbe kwa Taifa nzima kuhusu teknolojia yโa sarafu za kidigitali #bitcoin . hongera sana Kaka @_BitcoinCapital (WINSTON ALEXNDER) u did And welcome back again Tanzania ๐น๐ฟ nchi yenye vivutio vingi na mandhari nzuri sanaaa.
Tuendeleee kujifunza zaidi kuhusu teknolojia ya sarafu za kidigitali #bitcoin hii ndo kauli mbiu ya bitcoiners wote ulimwenguni .
โ๐ปโ๐ปโ๐ปโ๐ป
Study #bitcoin
#hold #bitcoin
And thanks me later
