Replying to Avatar BITCOINSAFARITZ

Ni furaha kubwa sana kuona watalii na #bitcoinย  ers kutoka nchi mbalimbali dunian kutembelea nchi yetu Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na kupanda mlima Kilimanjaro na kueneza ujumbe kwa Taifa nzima kuhusu teknolojia yโ€™a sarafu za kidigitali #bitcoin . hongera sana Kaka @_BitcoinCapital (WINSTON ALEXNDER) u did And welcome back again Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nchi yenye vivutio vingi na mandhari nzuri sanaaa.

Tuendeleee kujifunza zaidi kuhusu teknolojia ya sarafu za kidigitali #bitcoin hii ndo kauli mbiu ya bitcoiners wote ulimwenguni .

โœ๐Ÿปโœ๐Ÿปโœ๐Ÿปโœ๐Ÿป

Study #bitcoin

#hold #bitcoin

And thanks me later

Avatar
Jestr 2y ago

Hakika siku moja nitatembelea Tanzania!๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿค™

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

Avatar
BITCOINSAFARITZ 2y ago

Karibu sana ndugu ujioneee furaha na vivutio vingi Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ .itakua poaah sana tukionana na kupiga story pia kuhusu #bitcoin

Thread collapsed