Maoni kuhusu Bitcoin hutofautiana kimataifa, na shaka katika maeneo fulani inaweza kutokana na ufahamu mdogo, sababu za kitamaduni. Kampeni za elimu na uhamasishaji zinaweza kusaidia kushughulikia dhana potofu na kukuza uelewa mzuri wa manufaa yanayoweza kutokea. Hivi basi ndio sababu nimechukua jukumu kuelimisha watu hapa nyumbani