Replying to Avatar _

🫡

Pamoja sana kaka

uko aje

Reply to this note

Please Login to reply.

Discussion

Niko vyema ndugu! Utakuwa Africa ₿itcoin Conference ! Sio!?

Ndio ndugu nitakuwepo ,nahisi mtanzania nitakua mimi maana sioni wengine kama wataenda ,au kunipa taarifa nitajitahidi nikuje kaka

Hapo sawa

Sawa ndugu yangu

Naona kenya mmeendelea sana kaka

Nilipanda SGR from voi to nairobi and back to voi iko safi sana .

Nimepanda bolt electric motorbike

Nimepanda matatu zenu ,zenye ziko na TV inside

Nimepanda Electric Buses zenu

Nimeona vingi sana

Infact kenya ,kwenye sekta ya technology mko mbali sana na khongereni sana kaka

Innovation ina take over muhimu kuwa na mguu moja mbele

Kabisa kaka

nimenotice mtu akija Kenya ,kuishi Lazima akili ichangamke kwenye kutafuta si kama Tz akili za wengi zimelala

Haha hapa ni mbio mbio wakenya tusha zoea kukimbia kama tu kipchoge 🏃‍♂️

ni nzuri sana ,nitakua nakuja sana kenya akili ichangamke zaidi